Je UTI ni ugonjwa wa zinaa (STI)?
Utangulizi: Mara nyingi tumeona katika mitandao ya kijamii au katika story za vijiweni tunasikia maambukizi ya njia ya mkojo(UTI) yakihusishwa na magonjwa ya zinaa. Je swala hili lina ukweli ndani...
Umuhimu Wa Mahudhurio Ya Kliniki Kwa Wajawazito.
Kipindi cha ujauzito ni wakati muhimu sana kwa afya ya mama na mtoto. Ili kuhakikisha mama anajifungua salama na mtoto anazaliwa akiwa na afyanjema, ni muhimu kuhudhuria kliniki mara kwa mara kama...
Fahamu Kuhusu Tatizo la Usonji (Autism/ Otizim)
Je, umewahi kukutana na mtu ambaye anapenda sana utaratibu na anaona vigumu kubadili ratiba yake ya kila siku? Au labda umeona mtoto ambaye anapendelea kucheza peke yake na anaonekana kutojali...
0
Watu tuliowafikia (2020)
0
Nchi tulizozifikia (2020)
0
Active users (2020)
Fuatilia maendeleo ya ujauzito kupitia TanzMED
Nyenzo hii, inakuwezesha kufuatilia maendeleo ya ujauzito, kanuni bora za afya wakati wa ujauzito na hata dalili hatarishi wakati wa ujauzito wiki hadi wiki, kuanzia wiki ya kwanza mpaka unapojifungua. Pia, utaweza kupata ushauri wa Daktari pindi unapohitaji.