Pakua TanzMED App?

TanzMED ni mjumuiko wa wataalamu wa fani mbalimbali za Afya na IT wa kiTanzania ambao wamejitoa katika kuhakikisha kuwa jamii inafaidika kwa kupata maarifa na ushauri juu ya masuala ya Afya. Lengo kuu la tovuti hii ni kuleta mwamko kwa Watanzania katika kufahamu umuhimu wa kuwa na Afya bora kwa njia ya mawasiliano ya mtandao. TanzMED imedhamiria kuwa chanzo kimojawapo cha habari, elimu, taarifa, ushauri na mengi mengineyo yahusuyo afya.

Maana ya TanzMed: TanzMED ni muungano wa maneno mawili, “Tanz” ambalo linawakilisha Tanzania na “MED” ambalo linawakilisha Medicine.

Ndoto ya TanzMED ni kuona kuwa kwa kupitia tovuti hii, jamii inapata mwamko wa kulinda na kutunza afya bora kwa ustawi wake.

Ukiwa na maswali, ushauri au kutaka kushirikiana na timu ya TanzMED bonyeza Wasiliana nasi

No Internet Connection