Fabian Mganga
MMed
Anayeamini kuwa kila mtu anastahili kuwa na Afya bora kwa ajili ya ustawi wa maisha yake na jamii yake.
Dr. Khamis Hassan Bakari
Nuclear Medicine
Dr. Khamis H.Bakari ni daktari bingwa,mhadhiri katika chuo cha afya cha Chuo Kikuu cha Dodoma,mtaalamu wa Tiba na Uchunguzi kwa kutumia mionzi ya nyuklia (Nuclear medicine) ambaye kwa sasa anasomea shahada yake ya uzamivu Tongji Medical College of Huazhong University of Science and Technology nchini China.
Mkata Nyoni
IT Business
Mkata Nyoni ni mtaalamu wa masuala ya Uchumi na biashara ya Teknohama. (Information Econimcs & IT Management). Ni muanzilishi na mkurugenzi wa kampuni ya Dudumizi Technologies LTD inayojishughulisha na huduma za mtandao.
Dr. Henry A. Mayala
Cardiology
Dr.Henry A Mayala ni daktari bingwa Wa Tiba ya moyo katika taasisi ya Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI), ambaye kwasasa anasomea shahada ya uzamivu (PhD) ya Tiba ya Moyo katika Chuo Kikuu cha Tongji nchini China.
Lucy Johnbosco
Diabetes Educationist / Consultant
Lucy ni mtaalamu wa chakula na lishe, akiwa TanzaMED, anajihusisha na uandishi na kutoa elimu kwa uma juu ya ugonjwa wa kisukari.
Sophia Mangapi
Social Media Specialist
Sophia ni mhitimu wa shahada ya biashara na mifumo ya mtandao. Akiwa TanzMED, Sophia anahusika na kuhakikisha kunakuwa na muingiliano chanya kati ya watembeleaji wa Website na madktari huku akihakikisha taarifa zinawafikia walengwa ndani ya muda. Kwa kushirikiana na timu ya Dudumizi, anahakikisha Website na Application ipo hewani muda wote.

Pakua TanzMED App?

No Internet Connection