Image

Wasiliana Nasi

Asante sana kwa kutumia muda wako kutembelea TanzMED. TanzMED inakaribisha makala, maoni, maswali, malalamiko na ushauri kutoka kwa wasomaji wetu. Mchango wako utakuwa wa manufaa makubwa kwa TanzMED na kwa jamii nzima.

Endapo una jambo lolote, tafadhali wasiliana nasi kwa kutumia barua pepe ya jumla ya daktari@tanzmed.com. Kwa haraka zaidi tupigie kupitia (+255) 0716956712

TanzMED inajali maoni yako na itayafanyia kazi.

TanzMED Afya kwa Wote

Imehaririwa Jumanne, 15 Januari 2013 20:55
Share
Mkata Nyoni

Mkata Nyoni ni mtaalamu wa masuala ya Uchumi na Biashara ya Teknohama. (Information Economics & IT Management). Ni muanzilishi na mkurugenzi wa kampuni ya Dudumizi Technologies LTD inayojishughulisha na masuala yautengenezaji wa Website, Web Systems na Applications za simu.

https://www.dudumizi.com