
Dr. Paul J. Mwanyika
Dr. Paul J. Mwanyika ni Daktari Bingwa waTiba na Uchunguzi wa Magonjwa ya Watoto (Pediatrics).
Kiasi, mara ngapi na
03 Okt 2019Moja ya swali tulilokuwa tukipokea kutoka kwa wamama wengi ni je nitajuaje kama mtoto wangu ameshiba baada ya kumnyonyesha?,
Sababu na matibabu ya
30 Apr 2017Kucheua kwa mtoto ni hali ya mtoto kutoa chakula kupitia mdomoni muda mfupi baada ya kula/kunyonya.Kucheua kwa
Sababu za Watoto Wachanga
22 Mai 2017Kwa nini watoto wachanga wanalia?
Ni kawaida kwa watoto kulia. Hata watoto wanaozaliwa na afya
Ugonjwa wa Surua (Measles)
22 Mai 2017Surua ni mojawapo ya magonjwa ya kuambukiza yanayotisha kwa binadamu. Huu ni ugonjwa ulio na kiwango cha juu cha
Homa ya Mapafu (Pneumonia)
22 Apr 2017Homa ya mapafu ni aina ya maambukizi yanayoathiri mapafu. Ni ugonjwa ambao unaua watoto wengi hasa katika nchi zinazoendelea
Ugonjwa wa Sickle Cell
04 Feb 2018Moja ya matatizo yanayoathiri sana jamii kubwa ya watanzania hususani watoto ni ugonjwa wa sickle cell. Ugonjwa huu wa
Tatizo la Kuharisha kwa
09 Mai 2017Utangulizi
Kuharisha kwa watoto ni tatizo linaloshika nafasi ya pili duniani kwa kusababisha vifo miongoni mwa watoto
Ugonjwa wa Surua (Measles)
25 Mai 2011Utangulizi
Surua ni mojawapo ya magonjwa ya kuambukiza yanayotisha kwa binadamu. Huu ni ugonjwa ulio na kiwango