Image

TanzMED inaundwa na timu ifuatayo: 

Dr. Henry A. Mayala Dr. Fabian P. Mghanga Dr. Khamis Hassan Bakari Mkata Nyoni
Cardiology (PhD) Nuclear Medicine Nuclear Medicine IT
Dr.Henry A Mayala ni daktari bingwa Wa Tiba ya moyo katika taasisi ya Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI), ambaye kwasasa anasomea shahada ya uzamivu (PhD) ya Tiba ya Moyo katika Chuo Kikuu cha Tongji  nchini China. Anayeamini kuwa kila mtu anastahili kuwa na Afya bora kwa ajili ya ustawi wa maisha yake na jamii yake. Dr. Khamis H.Bakari ni daktari bingwa,mhadhiri katika chuo cha afya cha Chuo  Kikuu cha Dodoma,mtaalamu wa Tiba na Uchunguzi kwa kutumia mionzi ya nyuklia (Nuclear medicine) ambaye kwa sasa anasomea shahada yake ya uzamivu  Tongji Medical College of Huazhong University of Science and Technology nchini China. Mkata Nyoni ni mtaalamu wa masuala ya Uchumi na biashara ya Teknohama. (Information Econimcs & IT Management). Ni muanzilishi na mkurugenzi wa kampuni ya Dudumizi Technologies LTD inayojishughulisha na huduma za mtandao.
mayalajr@tanzmed.com mghanga@tanzmed.com mudathir@tanzmed.com mnyoni@dudumizi.com