Dr Khamis
Dr. Khamis H.Bakari (MD PhD) ni daktari bingwa,mhadhiri katika chuo cha afya cha Chuo Kikuu cha Dodoma,mtaalamu wa Tiba na Uchunguzi kwa kutumia mionzi ya nyuklia (Nuclear medicine).
Wanasayansi China Wagundua Bakteria
13 Jun 2011Kwa wiki tatu mfululizo bara la ulaya limekumbwa na janga la bakteria aina ya E.coli ambao wako tofauti
Magonjwa ya Zinaa - 2: (
19 Jun 2018Katika sehemu hii ya pili ya muendelezo wa makala ya magonjwa ya zinaa tutazungumzia kuhusu ugonjwa wa Chlamydia.
<Chanzo, dalili, tiba na
10 Jan 2017Ugonjwa wa vidonda vya tumbo hutokea iwapo kidonda cha ukubwa wa angalau wa nusu sentimita kitatokea kwenye sehemu yeyote
Saratani ya Matiti (Breast
08 Mai 2017Saratani ni aina ya ugonjwa unaosababisha ukuaji wa seli za mwili kubadilika na kukua bila mpangilio maalum.
Unene Uliopitiliza (Obesity)
19 Mai 2017Tatizo la Unene Uliopitiliza (Obesity)
Tatizo hili la unene uliopitiliza kuliko inavyohitajika kiafya huwa linaletwa na kuongezeka
Ugumba (Infertility)
21 Apr 2017Ugumba ni hali inayotokea iwapo watu wawili, mwanaume na mwanamke wanapokutana kimwili (au kujamiana) bila kutumia njia yoyote ile
Saratani ya Shingo ya
16 Mach 2017Utangulizi
Saratani ya shingo ya kizazi ni saratani inayoongoza kwa kusababisha vifo vya wanawake wengi duniani. Inakadiriwa
Ufahamu Ugonjwa wa Kifua
21 Mai 2017Ugonjwa wa kifua kikuu ni kati ya magonjwa matatu yanayotokea sana kwa watu masikini duniani (Disease of poverty). Magonjwa
Magonjwa ya Zinaa - 1: (
16 Jun 2018Kati ya magonjwa yanayoathiri watu wengi sana duniani ni magonjwa ya zinaa. Haya ni magonjwa yanayoambukizwa kutoka kwa mtu