Image

Ratiba ya Chakula cha Mtoto Kuanzia Miezi 9 ? Mpaka Miaka 6

Na Issa Kapande

Ni muhimu kwa mzazi/ mlezi kufahamu aina ya chakula kimfaacho mtoto wake hususani yule aliye katika umri wa miezi tisa na nusu mpaka miaka sita. Aina hizi za vyakula na jinsi ya uandaaji wake hutofautiana sana na zile anazokula mtoto mkubwa au mtu mzima. Leo, mtaalamu wetu wa mapishi, Chef Issa anatuletelea ratiba ya chakula cha mtoto wa umri huo.

 

 

Kifungua kinywa

Chakula cha mchana

Kitafunwa cha jioni

Chakula cha usiku

 

 

JUMATATU

Chapati maji, juisi chungwa,

uji ulezi changanya mtindi

Glasi ya maziwa na mkate wa nyama za kusindika

Shani ya mchanganyiko wa mboga mbichi

Supu ya uyoga, kuku wa maziwa, mihogo na njegere

JUMANNE

 Mtindi wa matunda, mkate wa mayai na nafaka za kukaushwa

 Chapati ya nyama ya kusaga, na chips au viazi vya kusaga na juisi ya nanasi

Salad ya kuku wa kuchemsha, mtindi na matunda mchanganyiko

Keki ya spinach, viazi vitamu na juisi ya maembe

 JUMATANO

Yai la kuvuruga, mkate wa ufuta na uji wa soya

 

salad ya kuku mchanganyiko wa mboga na passion juisi

 Mtindi usio na ladha ya matunda na mchanganyiko wa matunda

 Kipande vya nyama ya ngombe na tambi

ALHAMISI

 Chapati maji ya mdalasini na vipande vya apple, juisi ya carroti na embe

 Bata mzinga wa bacon, Parachichi na glasi ya maziwa

 Pop corn za asali na mchanganyiko wa matunda

 (cottage pie) nyama ya kusaga na viazi vya kuponda na maziwa

IJUMAA

Sandwich ya mayai Uji wa mahindi na maziwa namatunda mchanganyiko

 Chemsha Fillet ya samaki, mahindi njano machanga, na maharage

 Mkate wa Pita, njugu mawe naufuta wakusaga glass ya maziwa

 Mboga majani za kuoka na samaki na ndizi na strawberry smoothie

Katika makala zijazo, Chef Issa atatuletea jinsi na namna ya kuandaa milo hiyo katika siku hizo kulingana na ratiba.

Kwa maelezo zaidi, tembelea blog ya www.activechef.blogspot.com ambapo Chef Issa anachambua na kuelezea namna ya kuandaa mapishi mbali mbali kwa ufundi na ubora wa hali ya juu. Kwa mawasiliano, unaweza kumuandikia kupitia email yake ya issakesu@gmail.com

Share
More in this category: Mapishi ya Futari »