Image
Afya ya jamii

Afya ya jamii (80)

Kwa habari kedekede za afya

Utafiti uliofanywa na chuo kikuu cha State University cha Jijini New York nchini Marekani umesema ya kwamba manii ni nzuri kwa wanawake kwani huwaondolea msongo wa mawazo.

Kwa muda mrefu sana wanawake wamekuwa wakitumia parachichi kama nyenzo mojawapo ya urembo ima kwa kupaka kwenye uso au  nywele bila kuwa na uhakika kama kweli parachichi
Vichangizi vya mwenedo mbaya wa maisha (lifestyle factors) ya kila siku kwa wanawake, huchangia wanawake kuacha kupata hedhi, hii ni kutokana na utafiti uliofanya na kituo cha

Kimengenyo (enzyme) ambacho ni protini aina ya CYP2E1 kimegundulika kuwa ndio chanzo kinachochangia wanawake kupata saratani ya matiti kwa wanawake wanaotumia vilevi. Kwa muda mrefu wanasayansi

Fikiria:
 - Mara zote tumekuwa tukihimiza kuwapa nafasi wasomi na watafiti wetu ili wafanye mambo ya

Ugonjwa wa moyo unaosababishwa na simanzi au kuachana na mpenzi/mwenza wako yoyote yule hujulikana kitaalamu kama Takostubo au broken heart syndrome.

Ugonjwa huu husababishwa

Ripoti ya utafiti iliyochapishwa katika jarida la Health Physiology na kuchapwa katika wavuti ya WebMD inadai kuwa watu wazima wenye tabia ya kufanya mazoezi

Wiki chache zilizopita tuliandika makala kuhusu madai kuwa mafuta ya nazi yana uwezo wa kutibu ugonjwa wa kusahau unaowapata wazee maarufu kama Alzheimer’s disease. Katika makala

Si mara chache tumewahi kushuhudia au kusikia mtu au kundi la watu likiugua ghafla baada ya kula chakula katika mkusanyiko au sherehe. Bila shaka nawe ni mmojawapo

Ukurasa 3 ya 6