Image

Dalili za ugonjwa wa Corona

Angalia dalili

Dalili hizi zinaweza kuonekana ndani ya siku 2-14 baada ya kuambukizwa (kulingana na kipindi cha maangalizi kwa virusi vya MERS-CoV).

Kuchoka

Homa Kali

Kukereketa kooni

Upumuaji wa shida

Kifua kikavu & Mafua

Kushindwa kwa figo