Kuanzia sasa hakuna tena kusahau muda wa kunywa dawa. TanzMED itakukumbusha muda wa kunywa dawa au kwa wale wanaotumia dawa za kufubaza makali ya virusi vya ukimwi watakumbushwa siku ya kwenda kuchukua dawa.
Pia, utaweza kuona dawa unatakiwa kunywa kwa kila siku na kuziweka katika makundi mbalimbali.
Pia, utaweza kuona dawa unatakiwa kunywa kwa kila siku na kuziweka katika makundi mbalimbali.