Karibu

Karibu Jukwaa la Afya. Jukwaa linakuwezesha kuuliza au kujibu maswali ya Afya. Sasa unaweza kuuliza kwa Faragha (Private)
  1. Kiluilui
  2. Afya ya Jamii
  3. Ijumaa, 12 Mai 2017
Morning Doc
Nina swali, mfano mzunguko wangu wa hedhi ni siku 30, ovulation inawezekana kutokea siku ya ngapi?
Alafu saa zingine kunakuwa na maumivu kidogo either upande wa kulia chini ya kitovu au mwezi mwingine upande wa kushoto.(kati ya siku 10 au 17 baada ya kumaliza hedhi)
Ni sawa kuwa na maumivu hayo kipindi hicho?
Jibu Sahihi
Dr.Henry Mayala Jibu Sahihi Pending Moderation
Mtaalamu
0
Votes
Undo
Kwa mzunguko wa hedhi wa siku 30, tunatarajia siku ya kumi na sita, kuanzia tarehe ya kwanza kupata hedhi, ndio tarehe ya kupevuka yai (ovulation). Ndio ni kawaida kupata maumivu chini ya kitovu baada ya kumaliza hedhi, ila vilevile huweza kusababishwa na kutokuwana na uwiano wa homoni, matumizi ya vidonge vya uzazi wa mpango, kuwa na ka uvimbe kwenye mfuko wa kizazi na magonjwa ya mfumo wa kizazi. kwahiyo ukiona maumivu yakizidi ni vyema kuonana na daktari


Hakuna mtu aliyejibu bado
Kuwa wa kwanza kujibu swali hili!
Mgeni
Tuma majibu yako...
Unaweza ambatanisha swali lako na kipachiko (Attachment). Picha au faili. Vikoo vinavyokubalika gif,jpg,png,jpeg,zip,rar,pdf,doc,docx
• COM_EASYDISCUSS_INSERT • Remove Kizio cha kupandisha (Mwisho: 4 MB)
Namba za usalama
Ili kuwalinda watumiaji pamoja na Website yetu. Unatakiwa kuingiza namba ya usalama kabla haujatuma swali.