Karibu

Karibu Jukwaa la Afya. Jukwaa linakuwezesha kuuliza au kujibu maswali ya Afya. Sasa unaweza kuuliza kwa Faragha (Private)
  1. eliza
  2. Afya ya Jamii
  3. Jumatano, 17 Mai 2017
Halw Daktari
Nna swali. Kukaa sana chini zaidi ya masaa tisa kunaweza kusababisha maumivu ya mgongo?
Jibu Sahihi
Dr.Henry Mayala Jibu Sahihi Pending Moderation
Mtaalamu
0
Votes
Undo
maumivu ya mgongo huweza kusababishwa na vihatarishi vifuatavyo:
- umri kuanzia miaka 30 au 40
- kutofanya mazoezi, husababisha misuli ya mgongo ambayo hukaa zubaifu kupelekea maumivu ya mgongo
- uzito uliopitiliza husababisha msongo kwenye misuli ya mgongo
- magonjwa kama: I) ya viungo kama ARTHRITIS na II) saratani
- unyanyuaji wa vitu kimakosa
- wenye shida za unyongovu na msongo mawazo
- uvutaji sigara huzuia virutubisho muhimu kushindwa kwenda kwenye pingili za mgongo na kusababisha maumivu ya mgongo

kuhusu swali lako Eliza, ni kweli kukaa muda mrefu kunaweza kusababisha maumivu ya mgongo hasa kama hufanyi mazoezi kabisa, kwahiyo nakushauri uwe unapata muda wa kufanya zoezi
TanzMED Admin Jibu Sahihi Pending Moderation
0
Votes
Undo
Ni matumaini muhusika amekuelewa na kunufaika Dr,
  1. zaidi ya mwezi
  2. Afya ya Jamii
  3. # 1
  • Kurasa :
  • 1


Hakuna mtu aliyejibu bado
Kuwa wa kwanza kujibu swali hili!
Mgeni
Tuma majibu yako...
Unaweza ambatanisha swali lako na kipachiko (Attachment). Picha au faili. Vikoo vinavyokubalika gif,jpg,png,jpeg,zip,rar,pdf,doc,docx
• COM_EASYDISCUSS_INSERT • Remove Kizio cha kupandisha (Mwisho: 4 MB)
Namba za usalama
Ili kuwalinda watumiaji pamoja na Website yetu. Unatakiwa kuingiza namba ya usalama kabla haujatuma swali.