Karibu

Karibu Jukwaa la Afya. Jukwaa linakuwezesha kuuliza au kujibu maswali ya Afya. Sasa unaweza kuuliza kwa Faragha (Private)
  1. Hamza Omar
  2. Afya ya Jamii
  3. Jumanne, 19 Septemba 2017
Dr.Henry Mayala Jibu Sahihi Pending Moderation
Mtaalamu
0
Votes
Undo
Maji ya Betri ni tindikali aina ya sulfuric acid, na kali sana na inaweza kuunguza na kuleta madhara makubwa, kwahiyo naamini itakuwa imekuunguza kwenye mfumo wa chakula, ni vyema uende ukaonane na daktari bingwa wa tiba ya magonjwa ya tumbo, gastroenterologist kitaalamu ili uweze kupata msaada wa vipimo na tiba muafaka. na vyema upate uache kuweka maji ya betri na vitu vingine vya hatari kwenye chupa ya juice au ya soda au ya maji
  1. zaidi ya mwezi
  2. Afya ya Jamii
  3. # 1
  • Kurasa :
  • 1


Hakuna mtu aliyejibu bado
Kuwa wa kwanza kujibu swali hili!
Mgeni
Tuma majibu yako...
Unaweza ambatanisha swali lako na kipachiko (Attachment). Picha au faili. Vikoo vinavyokubalika gif,jpg,png,jpeg,zip,rar,pdf,doc,docx
• COM_EASYDISCUSS_INSERT • Remove Kizio cha kupandisha (Mwisho: 4 MB)
Namba za usalama
Ili kuwalinda watumiaji pamoja na Website yetu. Unatakiwa kuingiza namba ya usalama kabla haujatuma swali.