Karibu

Karibu Jukwaa la Afya. Jukwaa linakuwezesha kuuliza au kujibu maswali ya Afya. Sasa unaweza kuuliza kwa Faragha (Private)
  1. Kiluilui
  2. Magonjwa ya Wanamme
  3. Jumapili, 01 Oktoba 2017
Habari za kazi swali langu ni kwamba tatizo la impotence kwa mtu aliyepata ukubwani linatimika. Je dawa za viagra zinapatikana Nakiete pharmacy?
Dr.Henry Mayala Jibu Sahihi Pending Moderation
Mtaalamu
0
Votes
Undo
Upungufu wa Nguvu za kiume ambao hutokea baadae ukubwani huweza kusababishwa na vifuatavyo:
1. Shinikizo la damu
2. Kisukari
3. Uzito uliopitiliza (obesity)
4. Kuwa na mafuta mabaya mwilini (bad cholesterol)
5. Matatizo ya kisaikolojia ambayo huathiri vijana zaidi

Kwahiyo Ni vyem kujua sababu ikiyosababisha Hilo tatizo kuliko kukimbilia kutumia dawa, ushauri wangu Ni vyema kuonana na daktari aliyekaribu atakaye kusaidia kujua kisababishi.

Orodha ya hospitali inapatikana hapa https://tanzmed.co.tz/hospitali.html
  1. zaidi ya mwezi
  2. Magonjwa ya Wanamme
  3. # 1
  • Kurasa :
  • 1


Hakuna mtu aliyejibu bado
Kuwa wa kwanza kujibu swali hili!
Mgeni
Tuma majibu yako...
Unaweza ambatanisha swali lako na kipachiko (Attachment). Picha au faili. Vikoo vinavyokubalika gif,jpg,png,jpeg,zip,rar,pdf,doc,docx
• COM_EASYDISCUSS_INSERT • Remove Kizio cha kupandisha (Mwisho: 4 MB)
Namba za usalama
Ili kuwalinda watumiaji pamoja na Website yetu. Unatakiwa kuingiza namba ya usalama kabla haujatuma swali.