Karibu

Karibu Jukwaa la Afya. Jukwaa linakuwezesha kuuliza au kujibu maswali ya Afya. Sasa unaweza kuuliza kwa Faragha (Private)
  1. Ariella
  2. Afya ya Jamii
  3. Jumatatu, 04 Desemba 2017
Habari Doctor.
Mimi ni mdada, last week nlipata muwasho uson na kwenye macho(jicho lilivimba), mama akaniambia ninywe dawa ya minyoo. Mara ya mwisho nlikunywa zamani sana, basi nilivyotafuna ile dawa muwasho uliisha, ilikuwa ni Alzentel. Ila baada ya siku nne nilivyoenda toilet kwenye choo kikubwa alitoka mnyoo mkubwa sana, cjawah kufikiria minyoo inakuwaga mikubwa namna hiyo.
Mbaya zaidi ulikuwa haujafa, sasa cjui ile dawa imeshindwa kuwaua minyoo au vipi?
Sasa doctor naogopa ata kwenda kuchukua dawa nyingine kwa sababu nina wasiwasi itaendelea kutoka minyoo mizimamizima alafu ni mikubwa. Atleast ingekuwa imekufa.
Dawa gani nitumie? Au dawa ya minyoo ni lazima kujua ni aina gani ya mnyoo kwanza halafu ndo nitapata dawa baada ya hapo.


Hakuna mtu aliyejibu bado
Kuwa wa kwanza kujibu swali hili!
Mgeni
Tuma majibu yako...
Unaweza ambatanisha swali lako na kipachiko (Attachment). Picha au faili. Vikoo vinavyokubalika gif,jpg,png,jpeg,zip,rar,pdf,doc,docx
• COM_EASYDISCUSS_INSERT • Remove Kizio cha kupandisha (Mwisho: 4 MB)
Namba za usalama
Ili kuwalinda watumiaji pamoja na Website yetu. Unatakiwa kuingiza namba ya usalama kabla haujatuma swali.