Karibu

Karibu Jukwaa la Afya. Jukwaa linakuwezesha kuuliza au kujibu maswali ya Afya. Sasa unaweza kuuliza kwa Faragha (Private)
  1. Kiluilui
  2. Magonjwa ya Wanawake
  3. Jumatano, 17 Januari 2018
Habari dokta, nimekua nikisumbuliwa na uchafu mweupe ambao huwa wakahawia ukishafika kwenye pant. Nilipatiwa fluconazole na cream ya kupaka, zilinisaidia kwa kiasi maana muwasho uliacha ila uchafu ulipungua tu haukuisha. Hivi karibuni nmechunguza nmegundua hta critolis haiko kama awali though no any pain associated with. Zaidi hali ilionitisha, kabla sijaingia hedhi nmetokwa na kauvimbe kadogo ndani ya uke kama kina maji though had jion kikawa kinapotea na hakina maumivu. Je dokta hili ni tatizo gani linanitisha.??
Mrs Miraji Jibu Sahihi Pending Moderation
0
Votes
Undo
Kutokwa na uchafu ukeni kunaweza kusababishwa na vitu vingi,ikiwemo maambikizi ya bacteria(infection(PID),magonjwa ya zinaa,fangas,kansa ya kizazi
PID huambatana na maumvu chini ya kitovu +\- harufu
Magonjwa ya zinaa huambata na muwasho +\- vidonda sehemu za siri
Fangasi huambatana na muwasho
Nakushauri uende hospital ukafanyiwe vipimo zaidi ikiwemo kupima huo uchafu (culture and sensitivity) na pia magonjwa ya zinaa,ili ipatiwe dawa inayokufaa
  • Kurasa :
  • 1


Hakuna mtu aliyejibu bado
Kuwa wa kwanza kujibu swali hili!
Mgeni
Tuma majibu yako...
Unaweza ambatanisha swali lako na kipachiko (Attachment). Picha au faili. Vikoo vinavyokubalika gif,jpg,png,jpeg,zip,rar,pdf,doc,docx
• COM_EASYDISCUSS_INSERT • Remove Kizio cha kupandisha (Mwisho: 4 MB)
Namba za usalama
Ili kuwalinda watumiaji pamoja na Website yetu. Unatakiwa kuingiza namba ya usalama kabla haujatuma swali.