TanzMED inaundwa na timu ifuatayo:
Dr. Henry A. Mayala | Dr. Fabian P. Mghanga | Dr. Khamis Hassan Bakari | Mkata Nyoni |
Cardiology (PhD) | Nuclear Medicine | Nuclear Medicine | IT |
Dr.Henry A Mayala ni daktari bingwa Wa Tiba ya moyo katika taasisi ya Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI), ambaye kwasasa anasomea shahada ya uzamivu (PhD) ya Tiba ya Moyo katika Chuo Kikuu cha Tongji nchini China. | Anayeamini kuwa kila mtu anastahili kuwa na Afya bora kwa ajili ya ustawi wa maisha yake na jamii yake. | Dr. Khamis H.Bakari ni daktari bingwa,mhadhiri katika chuo cha afya cha Chuo Kikuu cha Dodoma,mtaalamu wa Tiba na Uchunguzi kwa kutumia mionzi ya nyuklia (Nuclear medicine) ambaye kwa sasa anasomea shahada yake ya uzamivu Tongji Medical College of Huazhong University of Science and Technology nchini China. | Mkata Nyoni ni mtaalamu wa masuala ya Uchumi na biashara ya Teknohama. (Information Econimcs & IT Management). Ni muanzilishi na mkurugenzi wa kampuni ya Dudumizi Technologies LTD inayojishughulisha na huduma za mtandao. |
mayalajr@tanzmed.com | mghanga@tanzmed.com | mudathir@tanzmed.com | mnyoni@dudumizi.com |