Dr Khamis
Dr. Khamis H.Bakari (MD PhD) ni daktari bingwa,mhadhiri katika chuo cha afya cha Chuo Kikuu cha Dodoma,mtaalamu wa Tiba na Uchunguzi kwa kutumia mionzi ya nyuklia (Nuclear medicine).
Wagonjwa wa Saratani ya
16 Mai 2017Watafiti kutoka kampasi ya chuo cha Gustave Roussy Cancer Campus cha nchini Ufaransa wamesema ya kwamba matibabu ya saratani
Maambukizi ya Fangasi Sehemu
16 Mai 2017Fangasi wapo kila mahali, kwenye miti, mimea, mchanga, ndani majumbani mwetu na hata kwenye ngozi ya binadamu.Aina nyingi
Sababu na Dalili za
18 Apr 2017Makala hii ni muendelezo wa makala ya kwanza kuhusu Sababu na Dalili za Kuharibika kwa Mimba, katika sehemu ya
Sababu zinazomruhusu mama mjamzito
18 Apr 2017Sio siri duniani kuna baadhi ya nchi ambazo zimeruhusu mama mjamzito kufanya uamuzi wa kutoa mimba (abortion) bila kuwepo
Zijue njia salama za
28 Jul 2017Tabia hii ya kulala chali wakati wa ujauzito inaweza kuepukika kwa kuwashauri kina mama wajawazito madhara yanayopatikana kwa kulala
Tatizo la Kutokwa na
22 Ago 2017Ushawishi wa kuandika makala hii ya tatizo la kutokwa usaha wakati wa kukojoa umetokana na swali la msomaji wetu
Dawa za uzazi wa
07 Apr 2017Utafiti uliofanyika nchini Uingereza kwa kuhusisha wanawake 46,000 umesema ya kwamba matumizi ya dawa za uzazi wa mpango hupunguza hatari
Uvutaji bangi kwa mzazi
07 Apr 2017Wanaume wanaovuta bangi wapo kwenye hatari ya kupata watoto wenye matatizo ya kiakili kama kutomudu masomo ya darasani, wamesema
Sababu na dalili za
10 Feb 2018Kuharibika kwa Mimba ni nini?
Utangulizi
Kuharibu/kuharibika kwa mimba kwa