Image

Appointment Booking

TanzMED inakuwezesha kuokoa muda na gharama kwa kuweka miadi (Appointment Booking) na Madaktari bingwa kutoka pande mbalimbali za Tanzania bila gharama yoyote. Pia, utaweza kukumbushwa muda wa miadi kwa njia ya ujumbe mfupi.

TanzMED on media

Ads

Image
Image

Fuatilia maendeleo ya ujauzito kupitia TanzMED

Nyenzo hii, inakuwezesha kufuatilia maendeleo ya ujauzito, kanuni bora za afya wakati wa ujauzito na hata dalili hatarishi wakati wa ujauzito wiki hadi wiki, kuanzia wiki ya kwanza mpaka unapojifungua. Pia, utaweza kupata ushauri wa Daktari pindi unapohitaji.

Tafuta watoaji huduma za Afya

Partners

Our valuable partners

Pakua TanzMed App

App ya Kiswahili inayoongoza Duniani kwa kutoa Elimu na nyenzo (tools) za Afya zinazokuwezesha kufanya maamuzi sahihi ya Afya.

Image
Image