Image

Ufafanuzi wa pointi

Kwanini unahitaji pointi

Huduma nyingi ndani ya TanzMED zinatolewa bila gharama yoyote, isipokuwa zile zinazoshirikisha wadau wengine kama madaktari walio nje ya TanzMED. Baada ya manunuzi, hakuna pointi inayoisha muda wake, hivyo utaweza kuitumia kadri uwezavyo. Utofauti wa Bando na Ujazo Kuna njia mbili za kununua pointi,

1. Kununua kulingana na mahitaji, kwa njia hii utanunua idadi kulingana na mahitaji yako. Gharama yake inabadilika muda hadi muda.

2. Kununua pointi kwa jumla (bando) ambapo utaweza kununua kwa mafungu. Gharama yake huwa ni nafuu kulinganisha na kununua pointi mojamoja.

Kumbuka: matumizi ya pointi hayana uhusiano na aina ya ununuzi na wala hakuna kurudishiwa pindi unapoghairi.