Parachichi Kinga ya Sumu Mwilini
Written by Dr KhamisKwa muda mrefu sana wanawake wamekuwa wakitumia parachichi kama nyenzo mojawapo ya urembo ima kwa kupaka kwenye uso au nywele bila kuwa na uhakika kama kweli parachichi
Penda Mwili Wako: Parachichi Kinga
Written by Dr KhamisUnywaji Pombe, Uvutaji Sigara na
Written by Dr KhamisKimengenyo (enzyme) ambacho ni protini aina ya CYP2E1 kimegundulika kuwa ndio chanzo kinachochangia wanawake kupata saratani ya matiti kwa wanawake wanaotumia vilevi. Kwa muda mrefu wanasayansi
Mpigie Kura Dr. Nahya Salim
Written by Dr Fabian P. Mghanga
Fikiria:
- Mara zote tumekuwa tukihimiza kuwapa nafasi wasomi na watafiti wetu ili wafanye mambo ya
Maambukizi katika kuta za ndani
Written by Dr.MayalaHutokea pale vimelea (bakteria) wanapovamia kuta za ndani za moyo (endocardium), zikiwepo valve na kusababisha maambukizi.
Hakuna mishipa ya damu ambayo ni mahususi kwa ajili
Ugonjwa wa Moyo Unaosababishwa na
Written by Dr.MayalaUgonjwa wa moyo unaosababishwa na simanzi au kuachana na mpenzi/mwenza wako yoyote yule hujulikana kitaalamu kama Takostubo au broken heart syndrome.
Ugonjwa huu husababishwa
Ripoti ya utafiti iliyochapishwa katika jarida la Health Physiology na kuchapwa katika wavuti ya WebMD inadai kuwa watu wazima wenye tabia ya kufanya mazoezi
Wiki chache zilizopita tuliandika makala kuhusu madai kuwa mafuta ya nazi yana uwezo wa kutibu ugonjwa wa kusahau unaowapata wazee maarufu kama Alzheimer’s disease. Katika makala
More...
Si mara chache tumewahi kushuhudia au kusikia mtu au kundi la watu likiugua ghafla baada ya kula chakula katika mkusanyiko au sherehe. Bila shaka nawe ni mmojawapo
Ugonjwa wa Matende na Madhara
Written by Dr KhamisUgonjwa wa matende ni aina ya ugonjwa unaosababisha ngozi na tishu zilizo chini ya ngozi ya mwanadamu kuwa nene (thickening of skin and underlying tissue).Ugonjwa huu
Chai Huongeza Uwezekano wa Kupata
Written by Dr KhamisUtafiti uliofanywa na Chuo Kikuu cha Marekani cha Boston umesema unywaji wa chai vikombe viwili kwa siku huongeza uwezekano wa mwanamke kupata ujauzito. Katika utafiti uliohusisha wanawake 3,600
Mambo ya Kuzingatia Kabla ya
Written by Dr KhamisZamani ilikuwa ni kawaida kuona wanawake wanatoboa masikio, pua, ili kuvaa aina mbalimbali za herini na shemeri. Siku hizi si ajabu kuona wanaume na wanawake wakijitoboa au