Image

Moja ya swali tulilokuwa tukipokea kutoka kwa wamama wengi ni je nitajuaje kama mtoto wangu ameshiba baada ya kumnyonyesha?,

Ni muhimu kwa mzazi/ mlezi kufahamu aina ya chakula kimfaacho mtoto wake hususani yule aliye katika umri wa miezi