Image
Dr.Mayala

Dr.Mayala

Dr.Henry A Mayala ni daktari bingwa Wa Tiba ya moyo katika taasisi ya Jakaya Kikwete Cardiac Institute (JKCI), ambaye kwasasa anasomea shahada ya uzamivu (PhD) ya Tiba ya Moyo katika Chuo Kikuu cha Tongji  nchini China.

Tatizo la kufunguka mlango wa kushoto wa moyo unaotenganisha chumba kidogo na kikubwa cha moyo na  kuzuia  kupita kwa

Hatari ya Kukakamaa kwa mwili  huongezeka kwa mtu mwenye kiharusi  au vihatarishi vya kiharusi kutokana na utafiti uliofanywa Rotterdam

Polio ni ugonjwa wa kuambukiza usababishwao na virusi, huathiri neva na kusababisha ulemavu.

Kutokana na taarifa

Dengue ni ugonjwa unaosababishwa na virusi viitavyo Dengue vinavyosambazwa na mbu aina ya Aedes . Mbu huyu anayeambukiza homa ya

Ni moja kati ya magonjwa sugu ambayo sio ambukizi kutoka kwa mtu mmoja kwenda kwa mtu mwingine. Vilevile ni

Ni pale ambapo kunakuwa na mkusanyiko wa maji kati ya kuta mbili zinazozunguka  mapafu. Kujaa huku kwa maji husababisha

Hutokea pale vimelea (bakteria) wanapovamia kuta za ndani za moyo (endocardium), zikiwepo valve na kusababisha maambukizi.

Hakuna

Ugonjwa wa moyo unaosababishwa na simanzi au kuachana na mpenzi/mwenza wako yoyote yule hujulikana kitaalamu kama Takostubo au

Pingamizi la upumuaji usingizini ni hali ya kushindwa kupumua kwa kutumia pua au mdomo kwa muda wa sekunde 10 wakati

Ukurasa 2 ya 5