Image
Dr Khamis

Dr Khamis

Dr. Khamis H.Bakari (MD PhD) ni daktari bingwa,mhadhiri katika chuo cha afya cha Chuo  Kikuu cha Dodoma,mtaalamu wa Tiba na Uchunguzi kwa kutumia mionzi ya nyuklia (Nuclear medicine).

Kati ya maambukizi yanayowasumbua wanawake wengi duniani ni maambukizi ya fangasi. Inakisiwa asilimia 75 ya wanawake wote duniani hupata maambukizi

Hakuna ubaya wowote kwa mtu kutaka kupendeza. Swala la kuonekana mzuri au kuwa mtanashati limekuwa sehemu muhimu kwa maisha

Mojawapo kati ya magonjwa yanayohusishwa na umaskini na uchafu wa kupindukia ni ugonjwa wa Kipindupindu. Inaripotiwa kuwa Kipingupindu ni

 Kujamiana (ama tendo la ndoa) ni moja ya mambo muhimu sana katika maisha ya mwanadamu. Ni ukweli usiofichika kwamba

Ni tatizo la ngozi ambalo linaifanya ngozi kuwa nyekundu, kuvimba/kuwasha au kupata mcharuko (inflammation) baada ya kugusana na

Wanawake wajawazito wanaopenda kulala chali wapo kwenye hatari ya kuzaa mtoto mfu(stillbirth),kulingana na wanasayansi.

Mwanamke mmoja mwenye umri wa miaka 47 kutoka jimbo la Michigan nchini Marekani amepata ugonjwa adimu sana(rare disease) wa

Daktari mmoja aitwaye Mackod, alipitia makala nyingi za afya ili kuweza  kutambua visababishi vya vifo ambayo havitokani na umri

Tete kuwanga ni ugonjwa  ambao unaombukiza na kusababishwa na virusi vinavyojulikana kama Varicella zoster virus.Maambukizi ya tete kuwanga
Ukurasa 3 ya 9