TanzMED ni jukwaa la Afya lenye lengo la kurahisisha upatikanaji wa taarifa,maarifa na nyenzo za Afya kwa urahisi. TanzMED inapatikana kwa njia ya website na App kwa simu za Android. Jitihada zinaendelea kuweza kupatikana kwenye matoleo mengine tofauti kama simu za iPhone, YouTube na hata Gazeti.
Tangu kuanza kwake mnamo mwaka 2011, TanzMED imekuwa ikitoa huduma hizi bila gharama yoyote, na ni mategemeo yetu kuendelea kutoa huduma bila gharama yoyoote kwa muda wote na kwa watu wote.
Kwa miaka yote hii, tumeendelea kukua na kuongeza vitu vingi zaidi kwenye jukwaa letu. Kwa sasa, tunatembelewa na watu milioni 3.6 kwa mwaka na tukiwa kurasa pekee ya Afya duniani kwa lugha ya kiswahili inayotokea kwa wingi kwenye Google.
Ili kuhakikisha TanzMED inaendelea kukua, mchango wako wa kiasi chochote kuanzia Shilingi 500/= kitakuwa na msaada zaidi. Changia maendeleo ya Afya tukuhudumie zaidi.
Unaweza kuchangia kwa njia ya Muamala wa Simu au Benki.
Mpesa: 0742 310178
Jina: TanzMED Health & Education Network