Image
Kurasa huu unakuwezesha kusoma dalili za magonjwa mbalimbali kulingana na tafiti zilizotolewa na Wizara ya Afya pamoja na Shirika la Afya Duniani. Dalili hizi zitumike kama sehemu kwa ajili ya kukupa ufahamu wa kukuwezesha kuchukua hatua na wala si kwa ajili ya kujitibia. Kumbuka, dalili za magonjwa huweza kuwa kinyume na unavyojisikia (force positive) hivyo ni vipimo pekee ndiyo vinaweza kutoa hitimisho la ugongwa.

Dalili na tabia hatarishi za magonjwa kwa Watu wazima

Fangasi

Dalili za Fangasi

  • Kutoka uchafu ukeni kama maziwa ya mgando
  • Kufukuta kwenye njia ya mkojo
  • Maumivu wakati wa kujaamiiana
  • Kuwashwa ukeni nje/ ndani

 Visabibishi(Risk factors)

  • Kufanya ngono zembe.
  • Kuwa na mpenzi zaidi ya mmoja.
  • Matumizi ya  sabuni  kwa kunawia sehemu za siri (kwa wanawake).