Image
Hedhi

Hedhi

Hedhi ni moja ya nyenzo inayotumika kufuatilia maendeleo ya siku uchavushaji wako (Period tracker). Nyenzo hii siy tuu inakupa nafasi ya kufuatilia siku hadi siku, bali pia, inakuwezesha kupata msaada wa daktari, kupata ujumbe kwa kila hatua ya mzunguko wa hedhi na pia kujifunza mambo mbalimbali yanayohusu hedhi.

Nyenzo hii, siyo tu inakupa urahisi wa kufuatilia siku zako za hedhi wewe mwenyewe, bali unaweza kumuunganisha mwenza wako, hivyo wapenzi kwa pamoja wanaweza kufuatilia mzunguko wa hedhi.