Image
Ujauzito ni moja ya nyenzo makini zinazopatikana katika TanzMED. Nyenzo hii inakuwezesha kufuatilia muenendo wa ujauzito wiki hadi wiki.

Nyenzo hii pia, hukuwezesha kubashiri siku ya kujifungua (EDD), kuweka taarifa za maandalizi ya kujifungua na hata maudhulio ya kliniki.

Ndani ya Ujauzito, utaweza kufuatilia ukuaji wa mtoto kwakila muula (Trimister), mambo ya kuzingatia na matarajio kwa kila wiki. Taarifa hizi zimeandikwa na mdaktari kulingana na hali na mazingira ya nyumbani. hivyo inakuwa ni rafiki na inatumiaka kiurahisi.

Ujauzito, siyo tu inakupa uwezo wa kufuatilia ujauzito bali inakupa uwezo mkubwa wa kujua hali yako na kukuwezesha kuchukua hatua mahsusi.