Image

Bila shaka umewahi kuusikia ugonjwa uitwao kichocho (bilharzia/schistosomiasis). Je unajua kuwa kichocho ni zaidi ya kukojoa damu tu?

Ugonjwa wa kichocho, ni ugonjwa unaosababishwa na vimelea vinavyojulikana kwa kitaalamu kama schistosoma. Ugonjwa huu huathiri zaidi ya watu