Ukweli kuhusu umuhimu wa mazoezi katika kuzuia na kutibu magonjwa mbalimbali
Iwe unafanya kwa nia ya kuwa na umbo lenye muonekano mzuri, au kupoteza muda
Introduction
Bahi district is one amongst six districts that make up Dodoma region. It extends between latitude 4o and 8o South and between longitude35o
Baada ya kujifungua mtoto wangu wa kwanza, daktari wangu wa meno alinilalamikia kuwa situnzi vema afya yangu ya kinywa na meno. Kiukweli
Chanzo, dalili, tiba na Madhara
Written by Dr KhamisUgonjwa wa vidonda vya tumbo hutokea iwapo kidonda cha ukubwa wa angalau wa nusu sentimita kitatokea kwenye sehemu yeyote ya ukuta wa tumbo au utumbo wa binadamu.
Mimba Kutoka (Abortion)
Written by Dr Fabian P. MghangaTatizo la mimba kutoka au kutolewa ni jambo ambalo limewakumba kina mama wengi walio katika umri wa kuzaa. Aidha mijadala kuhusu kuhalalishwa au kuendelea kuharamishwa kwa utoaji
Saratani ya Matiti (Breast Cancer)
Written by Dr KhamisSaratani ni aina ya ugonjwa unaosababisha ukuaji wa seli za mwili kubadilika na kukua bila mpangilio maalum.
Saratani ya matiti hutokea kwenye titi ambalo kwa
Ugonjwa Wa Uti wa Mgongo (
Written by Dr.MayalaKisukari (Diabetes Mellitus)
Written by Lucy JohnboscoMiongoni mwa magonjwa sugu yanayoendelea kuathiri afya za mamilioni ya watu wa nchi nyingi duniani ikiwemo Tanzania ni ugonjwa wa kisukari. Ugonjwa huu hutokea pale ambapo tezi
Mabusha ni nini?
hali ya kujaa maji kwenye mfuko wa pumbu. Hali hii hutokea kunapokuwa na mkusanyiko wa maji kati ya
Homa ya mapafu ni aina ya maambukizi yanayoathiri mapafu. Ni ugonjwa ambao unaua watoto wengi hasa katika nchi zinazoendelea duniani. Inakadiriwa kwamba watoto karibu milioni 1.6 walio chini
More...
Unene Uliopitiliza (Obesity)
Written by Dr KhamisTatizo la Unene Uliopitiliza (Obesity)
Tatizo hili la unene uliopitiliza kuliko inavyohitajika kiafya huwa linaletwa na kuongezeka kwa kiwango cha mafuta mwilini. Njia rahisi na
Ugumba (Infertility)
Written by Dr KhamisUgumba ni hali inayotokea iwapo watu wawili, mwanaume na mwanamke wanapokutana kimwili (au kujamiana) bila kutumia njia yoyote ile ya upangaji uzazi kwa muda wa miezi 12 na
Ugonjwa wa Sickle Cell
Written by Dr. Paul J. MwanyikaMoja ya matatizo yanayoathiri sana jamii kubwa ya watanzania hususani watoto ni ugonjwa wa sickle cell. Ugonjwa huu wa kinasaba huathiri hemoglobin, sehemu iliyo muhimu sana katika
Tatizo la kukosa hedhi ni jambo ambalo linawakumba wanawake wengi waliovunja ungo.Aidha suala hili limekuwa likiwaletea usumbufu mwingi wa kisaikolojia wanawake wengi waliowahi kukumbana nalo.
