Tatizo la Kutokwa na usaha
Written by Dr KhamisJinsi ya kujikinga na ugonjwa
Written by TanzMED AdminUgonjwa wa kaswende ni ugonjwa wa zinaa unaosababishwa na bakteria aina ya Treponema pallidum. Ugonjwa wa huu ni kati ya magonjwa ya zinaa yanayoongoza kwa kusababisha madhara
Fahamu kuhusu Tatizo la Usonji (
Written by Dr.MayalaUsonji ni tatizo linalojitokeza mapema utotoni, ambapo mtoto huwa na mapungufu kwa kupenda kujitenga na kutotaka kuwa karibu na watu (Impaired social interaction), hupata matatizo
Dawa za uzazi wa mpango
Written by Dr KhamisUtafiti uliofanyika nchini Uingereza kwa kuhusisha wanawake 46,000 umesema ya kwamba matumizi ya dawa za uzazi wa mpango hupunguza hatari ya kupata saratani ya mayai ya mwanamke (
Uvutaji bangi kwa mzazi husababisha
Written by Dr KhamisWanaume wanaovuta bangi wapo kwenye hatari ya kupata watoto wenye matatizo ya kiakili kama kutomudu masomo ya darasani, wamesema wanasayansi kutoka chuo kikuu cha Pennsylvania, nchini Marekani.
Jinsi ya kula kwa watu
Written by Lucy JohnboscoUgonjwa wa kisukari ni tatizo ambalo siku hizi husababishwa na mfumo wa maisha tunayoishi hasa vijana, tafiti zilizowahi kufanywa zinaonesha kuwa vijana wapo kwenye hatari kubwa ya
Sababu na dalili za Kuharibika
Written by Dr KhamisKuharibika kwa Mimba ni nini?
Utangulizi
Kuharibu/kuharibika kwa mimba kwa njia ya kutoa kiinitete (embryo) au mjusi (fetus)
Ishi kwa kujiamini, kisukari sio
Written by Lucy JohnboscoUgonjwa wa kisukari ni ugonjwa tishio sana hasa kwa wale wanaougua ugonjwa huu kutokana kuwa na athari nyingi sana kama mgonjwa kupata kiharusi, kupoteza viungo mbalimbali vya
Appointment
Hatari za kubeba ujauzito kipindi
Written by Dr.MayalaTatizo la kufunguka mlango wa kushoto wa moyo unaotenganisha chumba kidogo na kikubwa cha moyo na kuzuia kupita kwa damu ya kutosha kwenda kwenye mshipa mkubwa wa
More...
Contact Us
Maambukizi ya Fangasi katika Sehemu
Written by Dr KhamisKati ya maambukizi yanayowasumbua wanawake wengi duniani ni maambukizi ya fangasi. Inakisiwa asilimia 75 ya wanawake wote duniani hupata maambukizi haya katika kipindi cha uhai wao.
ARV , makundi yake na jinsi
Written by Dr Fabian P. MghangaTangu kuingia kwa dawa za kuvubaza VVU (ARVs) kumeripotiwa kuwepo kwa mafanikio makubwa katika kuboresha afya za watu wanaoishi na VVU kwa kusaidia kupunguza idadi ya VVU