Maambukizi Katika Mfumo wa Uzazi
Written by Dr.MayalaMaambukizi katika mfumo wa uzazi wa mwanamke kwa kitaalamu Pelvic Inflamatory Diseases au kwa kifupi PID, ni moja ya matatizo ambayo huwaathiri sana wanawake. Kwa kawaida maambukizi
Ratiba ya chakula, mtoto kuanzia
Written by Issa KapandeNi muhimu kwa mzazi/ mlezi kufahamu aina ya chakula kimfaacho mtoto wake hususani yule aliye katika umri wa miezi tisa na nusu mpaka miaka sita. Aina hizi
Mimba Kutoka (Abortion)
Written by Dr Fabian P. MghangaTatizo la mimba kutoka au kutolewa ni jambo ambalo limewakumba kina mama wengi walio katika umri wa kuzaa. Aidha mijadala kuhusu kuhalalishwa au kuendelea kuharamishwa kwa utoaji
Homa ya mapafu ni aina ya maambukizi yanayoathiri mapafu. Ni ugonjwa ambao unaua watoto wengi hasa katika nchi zinazoendelea duniani. Inakadiriwa kwamba watoto karibu milioni 1.6 walio chini
Tatizo la kukosa hedhi ni jambo ambalo linawakumba wanawake wengi waliovunja ungo.Aidha suala hili limekuwa likiwaletea usumbufu mwingi wa kisaikolojia wanawake wengi waliowahi kukumbana nalo.
Utangulizi
Kuharisha kwa watoto ni tatizo linaloshika nafasi ya pili duniani kwa kusababisha vifo miongoni mwa watoto chini ya miaka mitano. Inakadiriwa kwamba kwa kila
Sababu, dalili na aina za
Written by Dr. Paul J. MwanyikaUtangulizi
Hali ya dharura wakati wa
Written by Dr Fabian P. MghangaTunaendelea na mfululizo wa makala juu ya hali za dharura kipindi cha ujauzito. Leo tunazungumzia placenta previa.
Placenta previa ni miongoni mwa hali za hatari
Hali ya dharura wakati wa
Written by Dr Fabian P. MghangaUtangulizi
Miongoni mwa dharura zinazoweza kuwatokea baadhi ya wajawazito, ambayo husababisha mama kupoteza damu nyingi, kufa kwa mtoto na hata mama mwenyewe ni Placenta abruptio.
More...
Kichwa Maji (Hydrocephalus)
Written by Dr.MayalaKichwa maji au hydrocephalus (kwa lugha ya kitaalamu) ni mkusanyiko usio wa kawaida wa maji yanayojulikana kitaalamu kama (cerebral spinal fluid) kwenye ventrikali (ventricles) au nafasi zilizo
Madhara ya Unywaji wa Pombe
Written by Dr. Paul J. MwanyikaKati ya mambo ambayo watu wengi hawatilii maanani sana ni unywaji wa pombe wakati wa ujauzito. Nimekuwa nikiwaona akina mama wajawazito wengi wakinywa pombe kwenye sehemu za
Viashiria vya joto kali kwa
Written by Dr. Paul J. MwanyikaHoma ya kweli inasababisha wasiwasi hasa katika miezi michache ya kwanza ya maisha ya mtoto. Hii ni kwa sababu mfumo wa kinga kwa watoto huwa bado mchanga
Kwa nini watoto wachanga wanalia?
Ni kawaida kwa