Muda muafaka wa kufanya tendo
Written by Dr.MayalaKipindi cha kunyonyesha ni kipindi kigumu sana kwa mama kwani huambatana na uchovu mwingi unaotokana na kuongezeka kwa majukumu ya kumhudumia mtoto mchanga ambayo huchangia kwa mama
Dawa za uzazi wa mpango
Written by Dr KhamisUtafiti uliofanyika nchini Uingereza kwa kuhusisha wanawake 46,000 umesema ya kwamba matumizi ya dawa za uzazi wa mpango hupunguza hatari ya kupata saratani ya mayai ya mwanamke (
Sababu na dalili za Kuharibika
Written by Dr KhamisKuharibika kwa Mimba ni nini?
Utangulizi
Kuharibu/kuharibika kwa mimba kwa njia ya kutoa kiinitete (embryo) au mjusi (fetus)
Kucheua kwa mtoto ni hali ya mtoto kutoa chakula kupitia mdomoni muda mfupi baada ya kula/kunyonya.Kucheua kwa mtoto hupungua kadri mtoto anavyokuwa mkubwa na ni
Kulala Chali kwa Mjazito ni
Written by Dr KhamisWanawake wajawazito wanaopenda kulala chali wapo kwenye hatari ya kuzaa mtoto mfu(stillbirth),kulingana na wanasayansi. Katika utafiti uliofanyika nchini Ghana, wanawake wajawazito ambao
Masundosundo (Genital warts)
Written by Dr Fabian P. MghangaMasundosundo au vigwaru au Genital warts ni vinyama laini vidogo vinavyoota kwenye ngozi au utando laini unaozunguka maeneo ya siri. Vinaweza kutokea kwenye uume, uke, mrija wa
Athari za msongo wa mawazo
Written by Dr Fabian P. MghangaWatafiti wa magonjwa wanadai kuwa msongo mkali wa mawazo wakati wa ujauzito unaweza kusababisha hitilafu katika uumbaji wa mtoto na hatimaye mtoto kuzaliwa akiwa mlemavu.
<
Dalili na Ishara za Ujauzito
Written by Dr.MayalaDalili za ujauzito hutofautiana kati ya mwanamke mmoja na mwanamke mwingine, ingawa kuchelewa au kukosa hedhi ni dalili moja muhimu sana ya ujauzito.
Ni muhimu
Kuoza kwa Kasi kwa Meno
Written by Dr. Augustine RukomaTafsiri za maneno “rampant caries” ni nyingi katika fani ya meno lakini la msingi ni kuoza kwa meno kunako enea kwa kasi na kuharibu vichwa (crowns) vya
More...
Upungufu wa Damu Kipindi cha
Written by Dr Fabian P. MghangaUpungufu wa damu (anaemia)
hutafsiriwa
Kwa nini watoto wachanga wanalia?
Ni kawaida kwa watoto kulia. Hata watoto wanaozaliwa na afya njema kabisa wanaweza kulia kwa jumla ya wastani