Fikiria:
- Mara zote tumekuwa tukihimiza kuwapa nafasi wasomi na watafiti wetu ili wafanye mambo ya manufaa Tanzania
- Mara kwa mara tumekuwa tukihimizana kuhusu kusaidiana na kunyanyuana
- Mama mzazi anaujua uchungu wa mtoto kuumwa halafu yasiwepo matumaini ya kupona kwa kuwa haifahamiki chanjoa, sababu na njia muafaka ya matibabu
- Wazazi na familia kadhaa zimeshuhudia na zinajua uchungu wa kukesha mtoto anapoumwa
- Tafadhali tumia nafasi hii kumpigia kura Dkt. Nahya ili ashinde tuzo itakayomweleza kuendeleza jitihada za kutafuta tiba na njia muafaka za kuwatibu watoto wetu wa Tanzania, Afrika na duniani kwa faida ya kizazi hiki na kile kijacho!
Mpigie Kura Dr. Nahya Salim kusaidia Watoto Wa Tanzania
Share

Dr Fabian P. Mghanga
Daktari bingwa na Mhadhiri katika kitivo cha Afya Chuo Kikuu Kishiriki cha Askofu Jacob, Songea