Image
Afya ya jamii

Afya ya jamii (84)

Kwa habari kedekede za afya

Neno 'virutubisho lishe' ni neno la jumla linaelezea bidhaa ambazo ni muhimu kwa afya lakini hazipatikani au hazitoshi katika lishe hivyo kusababisha kuhitaji kuchukuliwa tofauti. Mahitaji ya

 

Kujiua kwa vijana ni tatizo kubwa la afya ya akili linaloendelea

Utangulizi:

Mara nyingi tumeona katika mitandao ya kijamii au katika story za vijiweni tunasikia maambukizi ya njia ya mkojo(UTI) yakihusishwa na magonjwa

Bila shaka umewahi kuusikia ugonjwa uitwao kichocho (bilharzia/schistosomiasis). Je unajua kuwa kichocho ni zaidi ya kukojoa damu tu? Unajua unaambukizwaje na namna gani unaweza kujilinda nao?

Saratani ya ubongo ni uvimbe uliotokana na mkusanyiko wa chembebehai za ubongo zilizotengenezwa kwa wingi bila mpangilio kutokana na kubadilika kwa DNA. Ikiwa chembehai hizo ni za

Kichwa kikubwa ni ugonjwa wa watoto wachanga wa kutanuka chemba za maji za kichwani na hivyo kupeleka muonekano wa kichwa kuwa mkubwa. Ugonjwa huu ni matokeo ya

Kipanda uso ni ugonjwa wa kinasaba unaosababisha maumivu makali ya kichwa kwenye paji la mbele la uso zikiambatana na dalili nyingine ambazo zinaathiri kazi za maisha ya

Kiharusi ni hali ya kuziba (ischemic) au kupasuka (hemorrhagic) kwa mishipa ya damu ya ubongo na kisha kupelekea ku ‘paralize’ au kifo. Kuna

Kifafa ni milipuko na mivurugano ya mfumo wa umeme wa kwenye ubongo kunakoweza kupelekea kupoteza fahamu kwa dakika kadhaa pamoja, kujikolea ama hata kutokwa na

Kwa kawaida, meno ya mtoto ya utotoni (meno ya awali) huanza kutoka kuanzia miaka 6. Kwa baadhi ya watoto, huweza kuchelewa kuanza kutoka meno ya utotoni hadi wanapoanza

Ukurasa 1 ya 6