Image

Katika ulimwengu wa leo, kuna njia nyingi za kujikinga na maambukizi ya virusi vya ukimwi (VVU). Njia mojawapo ni kwa wapenzi kufuata maadili ya dini na kuacha

Dawa za kufubaza makali ya ugonjwa wa ukimwi husababisha virusi hivyo visiendelee kuzaliana, na kama havitoendelea kuzaliana basi seli za kinga za mwanadamu zitaishi kwa mua mrefu

VVU/Ukimwi umeenelea kuwa ni moja kati ya changamoto kubwa katika sekta ya Afya duniani haswa kwa nchi zinazoendelea. Kutokana na Takwimu za Shirika la Afya Duniani (

Tohara kwa wanaume ni oparesheni inayohusu kuondolewa kwa sehemu ya ngozi au ngozi yote inayofunika kichwa cha uume, na imekuwa ikifanywa na baadhi ya watu katika makabila

Siku hizi, kumekuwa na taarifa nyingi juu ya masuala ya uzazi. Taarifa hizi hutokana na imani tofauti zilizopo kwenye jamii. Na, nyingi ya imani hizi hazina uhakika

Ndiyo, kuna uwezekano wa kupata ujauzito mara baada ya kujifungua kabla haujapata mzunguko mwingine wa hedhi. Hii ni kwa sababu, yai la mwanamke huwa linapevuka wiki mbili

 

Ni moja kati ya magonjwa sugu yahusuyo mfumo wa kinga ya mwili kushambulia mwili wako na huwa na mtindo wa kuwa na kipindi cha kupata

Fibroids ni moja ya matatizo yanayowasumbua wanawake wengi , kwa lugha ya kawaida, Fibroids maana yake ni uvimbe wa msuli wa kifuko cha uzazi. Uvimbe huu unaweza kuwa

Zipo njia nyingi ya kutibia maumivu ya hedhi.

Mojawapo ni kuweka chupa au mfuko wenye maji ya moto kwenye sehemu ya chini ya tumbo (isiwe

Visababishi vya amenorrhea vyaweza kugawanywa katika makundi makuu matatu, vile vinavyohusisha matatizo katika mfumo wa homoni, vile vinavyohusisha matatizo ya kimaumbile katika njia ya uzazi ya mwanamke