Zifahamu dalili za homa ya
Written by Sophia MangapiDengue ni moja kati ya homa kali inayodhoofisha na kuambatana na maumivu makali. Kwa sasa hakuna kinga ya homa ya dengue, njia pekee ya kuepuka ugonjwa huu
Zijue njia asilia za kutengeneza
Written by Sophia MangapiHakuna ubaya wowote kwa mtu kutaka kupendeza. Swala la kuonekana mzuri au kuwa mtanashati limekuwa sehemu muhimu ya maisha ya binadamu hususani upande wa dada zetu. Si
Sio siri duniani kuna baadhi ya nchi ambazo zimeruhusu mama mjamzito kufanya uamuzi wa kutoa mimba (abortion) bila kuwepo kwa sababu zozote za msingi za kitabibu. Baadhi
Muda muafaka wa kufanya tendo
Written by Dr.MayalaKipindi cha kunyonyesha ni kipindi kigumu sana kwa mama kwani huambatana na uchovu mwingi unaotokana na kuongezeka kwa majukumu ya kumhudumia mtoto mchanga ambayo huchangia kwa mama
Tabibu wa kwanza wa kisukari
Written by Lucy JohnboscoBado tupo katika mwendelezo wa Makala yetu kuhusu kisukari na jinsi ya kuishi na kisukari. Katika makala ya kwanza katika mfululizo huu wa makala za kisukari, <
Zijue njia salama za kulala
Written by Dr KhamisTabia hii ya kulala chali wakati wa ujauzito inaweza kuepukika kwa kuwashauri kina mama wajawazito madhara yanayopatikana kwa kulala chali.
Matokeo ya
Tatizo la Kutokwa na usaha
Written by Dr KhamisJinsi ya kujikinga na ugonjwa
Written by TanzMED AdminUgonjwa wa kaswende ni ugonjwa wa zinaa unaosababishwa na bakteria aina ya Treponema pallidum. Ugonjwa wa huu ni kati ya magonjwa ya zinaa yanayoongoza kwa kusababisha madhara
Fahamu kuhusu Tatizo la Usonji (
Written by Dr.MayalaUsonji ni tatizo linalojitokeza mapema utotoni, ambapo mtoto huwa na mapungufu kwa kupenda kujitenga na kutotaka kuwa karibu na watu (Impaired social interaction), hupata matatizo
More...
Dawa za uzazi wa mpango
Written by Dr KhamisUtafiti uliofanyika nchini Uingereza kwa kuhusisha wanawake 46,000 umesema ya kwamba matumizi ya dawa za uzazi wa mpango hupunguza hatari ya kupata saratani ya mayai ya mwanamke (
Uvutaji bangi kwa mzazi husababisha
Written by Dr KhamisWanaume wanaovuta bangi wapo kwenye hatari ya kupata watoto wenye matatizo ya kiakili kama kutomudu masomo ya darasani, wamesema wanasayansi kutoka chuo kikuu cha Pennsylvania, nchini Marekani.
Jinsi ya kula kwa watu
Written by Lucy JohnboscoUgonjwa wa kisukari ni tatizo ambalo siku hizi husababishwa na mfumo wa maisha tunayoishi hasa vijana, tafiti zilizowahi kufanywa zinaonesha kuwa vijana wapo kwenye hatari kubwa ya
Sababu na dalili za Kuharibika
Written by Dr KhamisKuharibika kwa Mimba ni nini?
Utangulizi
Kuharibu/kuharibika kwa mimba kwa njia ya kutoa kiinitete (embryo) au mjusi (fetus)