Tekinolojia, ni ufanisi au chanzo
Written by Mkata NyoniNikiwa kama mjukuu kipenzi wa bibi yangu, huwa napenda sana kutumia muda wangu wa mapumziko kujadiliana naye mambo mbalimbali yanayohusu jamii, iwe yaliyokuwa yanatokea hapo awali au
Mazoezi Kabla Kifungua Kinywa Hupunguza
Written by Dr KhamisDaktari mmoja aitwaye Mackod, alipitia makala nyingi za afya ili kuweza kutambua visababishi vya vifo ambayo havitokani na umri au nasaba ya kiasili (Genetic), na akagundua mambo
Ugonjwa wa Tete Kuwanga (Chicken
Written by Dr KhamisKwa takribani miongo mitatu sasa, tumeshuhudia ongezeko kubwa la mlipuko wa ugonjwa wa mkanda wa jeshi linaloendana na ongezeko la hususani
Kwa takribani miongo mitatu sasa, tumeshuhudia ongezeko kubwa la mlipuko wa ugonjwa wa mkanda wa jeshi linaloendana na ongezeko la hususani ugonjwa wa UKIMWI. Hali hii imefanya
Shahawa Humuongezea Mwanamke Uwezo wa
Written by Dr KhamisWanasanyansi katika chuo kikuu cha Saskatchewan cha nchini Canada wamesema ya kwamba manii(semen) yanayotolewa na mwanamume wakati wa kujamiana na mwanamke yanasaidia mwanamke kuwa na uwezo
Je,Kujamiana Huondoa Msongo wa
Written by Dr KhamisUtafiti uliofanywa na chuo kikuu cha State University cha Jijini New York nchini Marekani umesema ya kwamba manii ni nzuri kwa wanawake kwani huwaondolea msongo wa mawazo.
Mapafu Kujaa maji
Written by Dr.MayalaNi pale ambapo kunakuwa na mkusanyiko wa maji kati ya kuta mbili zinazozunguka mapafu. Kujaa huku kwa maji husababisha mgonjwa kupata shida ya kupumua vizuri.
<
Maambukizi ya Tezi Dume (Prostatitis)
Written by Dr KhamisMaambukizi ya tezi dume bila uwepo wa bakteria (Chronic non-bacterial prostatitis)
Kama jina lake linavyoeleza, maambukizi ya aina hii kwenye
More...
Maambukizi ya Tezi Dume (Prostatitis)
Written by Dr KhamisProstatitis ni ugonjwa unaosababishwa na maambukizi ya vimelea vya bakteria katika tezi dume (prostate) kwa wanaume.
Kuna aina kuu nne za ugonjwa huu wa prostatitis
Masundosundo (Genital warts)
Written by Dr Fabian P. MghangaMasundosundo au vigwaru au Genital warts ni vinyama laini vidogo vinavyoota kwenye ngozi au utando laini unaozunguka maeneo ya siri. Vinaweza kutokea kwenye uume, uke, mrija wa
Wakati watafiti duniani wakiendelea kutafuta dawa itakayoweza kutibu tatizo la UKIMWI linalosababishwa na VVU, hivi karibuni imebainika kwamba kuna uwezekano mkubwa wa maambukizi ya VVU kupungua kwa
Zifahamu Hatua za Ugonjwa wa
Written by Dr KhamisUgonjwa wa HIV/AIDS umekuwa janga kubwa sana duniani kwa sasa kutokana kuathiri watu wengi na kukosekana kwa tiba ya ugonjwa huu. Maambukizi ya ugonjwa wa HIV/