Kujiua kwa Vijana: Changamoto, Sababu, na Ufumbuzi.
Kujiua kwa vijana ni tatizo kubwa la afya ya akili linaloendelea kuongezeka duniani kote, ikiwa ni pamoja na Tanzania. Takwimu za mwaka 2019 zinaonyesha kuwa kujiua ilikuwa sababu ya nne ya vifo kwa...
Je UTI ni ugonjwa wa zinaa (STI)?
Utangulizi: Mara nyingi tumeona katika mitandao ya kijamii au katika story za vijiweni tunasikia maambukizi ya njia ya mkojo(UTI) yakihusishwa na magonjwa ya zinaa. Je swala hili lina ukweli ndani...
Kifafa: Ufafanuzi na Aina Zake
Kifafa ni milipuko na mivurugano ya mfumo wa umeme wa kwenye ubongo kunakoweza kupelekea kupoteza fahamu kwa dakika kadhaa pamoja, kujikolea ama hata kutokwa na haja kubwa. Ugonjwa huu unaweza...

0
Watu tuliowafikia (2020)

0
Nchi tulizozifikia (2020)

0
Active users (2020)

Fuatilia maendeleo ya ujauzito kupitia TanzMED
Nyenzo hii, inakuwezesha kufuatilia maendeleo ya ujauzito, kanuni bora za afya wakati wa ujauzito na hata dalili hatarishi wakati wa ujauzito wiki hadi wiki, kuanzia wiki ya kwanza mpaka unapojifungua. Pia, utaweza kupata ushauri wa Daktari pindi unapohitaji.
Magonjwa
Partners
